Habari za wakati huu ndugu zangu,
Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani.
Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine).
Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview...
Habarini!!
Nimesoma bachelor degree in Electrical Engineering pia nina diploma,pia nina leseni class C Electrical installation natafuta kampuni ya kufanya nae kazi ninaomba msaada wa internship au kazi
Namba:0762136488 au
missnzowatwb@gmail.com
Habari zenu wana Jamii Forums.
Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma.
Wakuu wa DIT, naomba msaada.
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.