Habari wanaJF
Lengo na madhumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview.
Hivyo kwa wale wote ambao wana uzoefu na maswali yanayo ulizwa katika interview za kada ya ufundi umeme pasipo...