electrical technician

An electrician is a tradesperson specializing in electrical wiring of buildings, transmission lines, stationary machines, and related equipment. Electricians may be employed in the installation of new electrical components or the maintenance and repair of existing electrical infrastructure. Electricians may also specialize in wiring ships, airplanes, and other mobile platforms, as well as data and cable lines.

View More On Wikipedia.org
  1. Electrical Technician interview TRC

    Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale mnaoenda kufanya interview siku ya jumamosi mwezi huu tuje kushare madesa tunaikabili vipi interview hii.
  2. Msaada jinsi usaili wa electrical technician unavyokuwa

    Utumishi tayari imeita vijana kwenye interview post: electrical technician II, kwa wale ambao tayari mnau zoefu na interview hizi mmeshawahi kuzifanya naomba tusaidiane kujuzana namna ya maswali yanavyokuwa kuwa huko katika interview zote tatu Written interview, practical interview, na Oral...
  3. Kwa mliokuwa Shortlisted (Electrical II) TRC na mliowahi kufanya interview za electrical technician utumishi

    Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
  4. Electrical Technician – 2 posts at Bagamoyo Sugar Limited

    Position: Electrical Technician Vacancies: Two (2) Workplace: Bagamoyo Date: 08/05/2024 DUTIES/RESPONSIBILITIES Attending plant preventive and corrective maintenance Attending power receiving and distribution (in bothTG, generator and Grid) Attending plant machine inspection Ensure plants is...
  5. Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

    Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit. Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye...
  6. Electrical Technician at Bonite Bottler Ltd

    Position: Electrical Technician Qualification Applicant should be a holder of VETA level lll/Diploma in Electrical Engineering from a recognized Institution. Key skills & Abilities: Ability to maintain all the electrical equipment to acceptable and approved standards for efficient operation...
  7. G

    Natafuta internship au nafasi ya kazi ya Electrical Technician

    Habari zenu wadau wa JamiiForums, Nina ombi kama kuna mtu yeyote anaeweza kunisaidia kupata internship kwenye kampuni yoyote ile ya Electrical Technician anisaidie. Au kama una kazi yoyote kuhusiana na Electrical Technician. Mimi ni graduate wa Diploma katika masuala ya Electrical...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…