Mnamo Alhamisi Oktoba 24, 2024 jengo la ghorofa tatu lililokuwa linajengwa kuanguka ghafla, hivyo kuleta hofu kwa wakazi wa Iten, katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Kwa mujibu wa mashuhuda, jengo hilo ambalo lilikuwa linajengwa na serikali ya kaunti hiyo, kwa sehemu fulani lilianza kuonesha...