Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?.
Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa...
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumuingiza winga wake mpya, Elie Mpanzu, kwenye mfumo wa usajili wa CAF, hatua inayomruhusu kuichezea timu hiyo katika mechi za Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup).
Kwa mujibu wa taarifa, Simba SC imepata leseni ya Mpanzu baada ya kumjumuisha kwenye usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.