Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.
Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL...
Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati.
Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari.
Wengine wanasema hata mechi za shirikisho itabidi asubiri mpaka asajiliwe na TFF kwanza wakati wa dirisha dogo...
Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal.
Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC...
Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club.
Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki...
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo.
Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu...
Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana
Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili...
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
“Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa kuchelewa sana kuhusu kumtaka Mchezaji wangu Ellie Mpanzu, hata hivyo hawezi kwenda Simba anaenda Ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.