Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo.
Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo.
Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji.
Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni...
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au...
Hakikisha unakuwa mwalimu wa mwenzio, toa maarifa tuliyonayo kwa wengine. Namna unavyojiona wewe wa thamani ndivyo hivyo unapaswa kuwathamini wengine.
Tuishi kwa upendo tukielimishana na kufahamishana ili tujenge jamii na Taifa lililoimara.
Jamii na nchi yetu tutaijenga wenyewe na kama...
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022)
UTANGULIZI
Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU?
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo.
Kwa ufupi ni kwamba
Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii.
Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna ya kuishi na gonjwa hili miongoni mwetu huku tukiendelea kutimiza majukumu.
Katika mchakato huu...
Good Morning people,
Kwanza kabla sijafika mbali napenda niweke bayana mambo yafuatayo.
Mosi: binadamu tumetofautiana talanta kutokana na katiba ya miili yetu ilivyoumbwa. Hivyo sio jambo jema kukashifu mwingine kutokana na mapungufu ambayo yapo nje ya uwezo wa asili wa miili yao. Waraka huu...
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu.
Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.