Hakikisha unakuwa mwalimu wa mwenzio, toa maarifa tuliyonayo kwa wengine. Namna unavyojiona wewe wa thamani ndivyo hivyo unapaswa kuwathamini wengine.
Tuishi kwa upendo tukielimishana na kufahamishana ili tujenge jamii na Taifa lililoimara.
Jamii na nchi yetu tutaijenga wenyewe na kama...