UTANGULIZI
Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji kutokana na visa vya wivu wa mapenzi, watu kujinyonga, kujiua kwa sumu, uraibu wa kamari, ubakaji...