Watu wanasema "ukitaka kujua umepiga hatua basi simama na uangalie ulipotoka". Kwa sisi watanzania ambao tuna ujasiri wa kuhesabu miaka 62 tangu tupate uhuru wa kuijenga Tanzania tuliyoitaka wenyewe, Je tukisimama na kuangalia tulipotoka tunaona nini?
Naomba dakika kadhaa za siku yako niweze...