KAMANDA WA TAKUKURU (M)
MKOA WA KILIMANJARO
S.L.P 1951
Moshi-Kilimanjaro
Imetokea taharuki kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025, Moshi Manispaa, baada ya kuonekana mtaani kwa risiti za malipo ya mamilion ya fedha , yasiyojulikana...
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali kwenye hizi shule japokua baadhi ina tija ila hofu yangu ni uwezo wa wazazi kuimudu.
Wanafunzi...
Shule ya ,singi Vikunai iliyopo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam kuna changamoto kubwa Wanafunzi hawana madawati baadhi wanakaa chini.
Shule pia inabebesha wazazi mzigo wa kutoza Tsh 500 ya mtihani kwa madarasa ya mitihani, hiyo tsh 500 mwanafunzi anatakiwa kwenda nayo kila siku, hivyo...
Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda naomba utusaidie maelezo ya kina kuhusu shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza.
Swali ni moja tu, KWA NINI MWANACHI ANALAZIMIKA KULIPA SHILINGI 400,000+ YA ADA KWENYE SHULE HIZI wakati ambao serikali inatekeleza sera ya elimu...
Elimu ni Pana sana haiwezi kutolewa Bure, serikali haina huo uwezo.
Kuna wazazi wamebweteka tu kuwajibika Kwa watoto wakijodai ati serikali inatoa elimu Bure.
Viongozi wa serikali hawasomeshi kwenye hizi shule zenu za vumbi, kidumi na mfagio watoto wao wapo international school wanalipa ada Kwa...
Serikali imenuia kupunguza mzigo wa gharama za michango kwa wazazi wa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano. Serikali imeweka ukomo wa michango kuwa Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya elimu na mafunzo ya mwaka...
Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali.
Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
Anonymous
Thread
awali
bure
duni
elimuelimubureelimu ya awali
kina
kuanzia
mashuleni
matumizi
pesa
serikali
suala
tofauti
ufuatiliaji
Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini.
Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela hiyo mtoto hawezi kuingia darasani.
Sasa hivi wanasema kila mwezi mzazi atoe Tsh 2,000 ya mpishi na...
Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi.
Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya tetesi kuwa serikali ipo kwenye mpango mwakani turudi kwenye elimu ya kulipia hii ni kutokana na...
1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra).
2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi).
3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote?
Mpwayungu Village
Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika
Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000.
Baba huyu anadai anakaa na watoto 3 na kila mtoto...
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya.
Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
bodi ya mikopo elimu ya juu
elimubureelimu ya juu
elimu ya juu bure
fedha za umma
mikopo elimu ya juu
ubadhirifu fedha za umma
ufisadi
vyuo vikuu
wanafunzi vyuo vikuu
Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.
Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.