Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe au Baba yake alimuwekea hisa.
Kwa hapa Tanzania, tembelea Jamii za kanda ya kaskazini huko kwa...
Moja kwa moja..
1. Kusovu past papers imekuwa dili kwa Wanafunzi
Kumekuwa na misemo maswali au mitihani inajirudia na hili ni ukweli ambao hauna shaka. Unakuta Wanafunzi pamoja na walimu wanawekeza muda wao sio kusoma kuelewa bali kusovu mitihani ya Taifa iliyopita kwa lengo kuu ni kuwa...
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni inayowanyima ufahamu, nawataka oneni hata aibu msifikie kiwango mlichofikia cha kuwafanya kama hawana hata...
Ukiangalia kwa makini siasa za Afrika zinavyoendeshwa Kwa Sasa, unaweza kuona pasina shaka kuwa mserereko wa kurudi nyuma miaka 200 iliyopita ni mkubwa sana.
Kabla ya Mkutano wa Berlin ulioigawanya Afrika vipande vipande. Afrika yenyewe tayari ilikuwa imegawanyika kikabila na kiukoo.
Maarifa...
Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka.
Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022)
UTANGULIZI
Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu.
Aisee sio kwa balaa hili, kwa...
Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'.
Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.