elimu duni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume maskini, wenye elimu na upeo mdogo wa kufikiri kutoka jamii duni ndiyo hukataza wake zao kufanya kazi za Uzalishaji

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe au Baba yake alimuwekea hisa. Kwa hapa Tanzania, tembelea Jamii za kanda ya kaskazini huko kwa...
  2. Miongoni mwa sababu za Elimu ya Tanzania kuonekana duni na ya kukaririshana tu

    Moja kwa moja.. 1. Kusovu past papers imekuwa dili kwa Wanafunzi Kumekuwa na misemo maswali au mitihani inajirudia na hili ni ukweli ambao hauna shaka. Unakuta Wanafunzi pamoja na walimu wanawekeza muda wao sio kusoma kuelewa bali kusovu mitihani ya Taifa iliyopita kwa lengo kuu ni kuwa...
  3. M

    Pre GE2025 CCM, oneni aibu basi, acheni kuwajaza Wananchi ujinga kwa Kuwahutubia hotuba zenye upotoshaji

    Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni inayowanyima ufahamu, nawataka oneni hata aibu msifikie kiwango mlichofikia cha kuwafanya kama hawana hata...
  4. Elimu inarudi ilikotokea... Ni hatari Sana Kwa Afrika

    Ukiangalia kwa makini siasa za Afrika zinavyoendeshwa Kwa Sasa, unaweza kuona pasina shaka kuwa mserereko wa kurudi nyuma miaka 200 iliyopita ni mkubwa sana. Kabla ya Mkutano wa Berlin ulioigawanya Afrika vipande vipande. Afrika yenyewe tayari ilikuwa imegawanyika kikabila na kiukoo. Maarifa...
  5. M

    SoC03 Tanzania: Katiba Mpya sio 'Tatizo', Viongozi wetu wanapatikanaje?!

    Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka. Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
  6. SoC02 Sababu saba (07) zinazopelekea mtoto wa Kitanzania ashindwe kupata elimu bora

    Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
  7. Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti. Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu. Aisee sio kwa balaa hili, kwa...
  8. Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…