Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amesema hivi karibuni watakuwa na mafunzo kwa viongozi wao wa wilaya nchi nzima ili kuendelea kulinda nidhamu ya utendaji na uaminifu katika Taifa la Tanzania kwa vijana wanao aminiwa na Chama au Serikali...