Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
Wakuu,
Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na namna ya kuhamisha taarifa zao iwapo mwananchi atahitaji.
Baadhi ya...
Nimepitia Wizara zote waliandaa kile wanaita seminaza kuwajengea Wabunge uelewa. Mfano Afya waliandaa kuhusu Elimu ya Bima ya Afya kwa wote, Madini Wiki ya Stamico, Ardhi Waliandaa kile wanaita Elimu ya Ubia kati ya NHC na sekta binafsi na siku za karibuni Nishati wao Wametia fora Kwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.