Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
Anonymous
Thread
elimuelimumsingi
fedha
kuchelewa
malalamiko
msingi
sana
serikali
shule
shule za msingi
ucheleweshaji
uendeshaji
upande
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu.
1. Walimu wengi wamehamishwa bila kufuata utaratibu na malipo ya uhamisho imekuwa ni shida sana kulipwa.
2. Ari ya walimu kufanya kazi...
Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali.
Katika mpango huo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutumia Tsh Bilioni 250.9 kwa lengo la kuboresha...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada.
DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili.
Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka.
Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi.
Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake.
Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya.
Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
Ni mwanamama asiyezingatia wala kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wiki iliyopita amewapatia barua za uhamisho walimu zaidi ya 30 wakihamishwa toka vituo vyao vya zamani kwenda vituo vipya vya kazi. Kati yao hakuna aliyelipwa stahiki zake zikiwemo posho ya usumbufu au ile ya...
Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.
Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua...
Tanzania kwa miaka mingi imekuwa ni nchi inayo boresha elimu kwanza na baadaye yanafiata mambo mengine ya barabara, lilimo viwanda na nk.
Cha kuchangaza ni kwamba awamu hii imesahau lkabisa kuboresha elimu hasa ya msingi.
Wengi watanishanga kwamba mbona sijaona elimu bure inatolea nk.
Kutoa...