Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu.
Akikabidhi mradi huo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake katika Halmashauri za Wilaya ya Mtama na Masasi.
Dkt. Akwilapo alikabidhi vyeti hivyo wakati wa...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh...
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote.
Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri
Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!!
Mtu alipata four ya 28 akasoma...
Stadi laini (soft skills) ni ujuzi usio wa kiufundi ambao mtu anamiliki na hutumika katika mawasiliano, kushirikiana na wengine, na kutatua matatizo katika mazingira ya kazi au kijamii. Ni muhimu kwa maendeleo ya kibinafsi na kitaaluma, kwani huathiri jinsi watu wanavyoshirikiana na wengine na...
Yah: KUAHIRISHA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA WA KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) ilipokea barua yenye Kumb. Na DC.297/507/01/370 ya tarehe 09/7/2024 kutoka OR-TAMISEMI kuhusu changamoto...
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo.
Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini?
Weka hoja ya msingi tafadhali.
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali?
Kwamba hawaamini kama watalipwa?
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024
Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
Wakuu habari ya majukumu!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani 2024/25 Admission Guidebook lakini mpaka kufikia leo 08/07/2024 (zaidi ya wiki moja) kwenye website...
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah...
UTANGULIZI.
Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua tunahitaji matumizi ya sahihi ya kiteknologia katika mfumo wa elimu ili kuchochea ukuaji wa elimu yetu...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira.
Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina kwa fedha za kuajiri wahitimu wengi waliopo mtaani.
Habari,
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016
Siku za karibuni nimekuwa active katika harakati za chuo hasa kupigania maslahi ya wanafunzi waliozuiliwa kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.