Mara nyingi sana waswahili huwa wanazungumzia mtu kupata elimu ya dini lakini kiuhalisia huwa wanamaanisha ni mafunzo/maelekezo ya dini ya mtu husika.
Elimu ya dini au kwa Kingereza "religious education/studies" ni ile elimu ya darasani mtu anayosemea kuhusu dini husika au dini mbalimbali akiwa...