Nafahamu utendaji wa figo, kuchuja uchafu na vitu vinginge vilivyo katika damu na kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya mkojo.
Na hii hufanyika mara thelathini na ushee hivi kwa masaa 24, nataka kujua hiki ambacho nime experience kwangu, mara zote nikiamka asubuhi na kwenda kupuu mkojo...