Je, kuna ukweli wowote kwamba;
Ukiona fani ina Idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume kuliko wa kike basi jua hiyo fani ni ngumu?
Ukiona fani ina Idadi kubwa ya Wanafunzi wa kike, basi jua iyo fani ni nyepesi?
Je, nadharia hizo ni kweli hadi makazini?
Nchini Tanzania, mapambano dhidi ya HIV/AIDS miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15-25 yanabaki kuwa kipaumbele muhimu katika afya ya umma. Kulingana na data za hivi karibuni, kiwango cha maambukizi ya HIV miongoni mwa wanawake vijana katika kundi hili ni takribani 3.4%, wakati miongoni mwa...
Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa.
Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.