Wakuu, ukweli ni kwamba bado tumelala usingizi wa pono wakati dunia inapiga hatua kubwa kupitia Artificial Intelligence, Cloud Computing, na Automation. Mfumo wetu wa elimu wa sasa bado unazalisha wafanyakazi wa kuandika na kuhesabu (clerks) kama ilivyokuwa wakati wa wakoloni, badala ya kujenga...