Habari zenu wapendwa wa bwana.
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya,tupate mda wa kuwaombe wagonjwa na wenye shida mbalimbali,MUNGU awatangulie amen. Moja kwa moja twende kwenye mada huska niliyoiandika hapo juu.
Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu kwa mda mrefu sana na nimegundua hii siri...
📣📣📣📣📣📣📣
Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini.
1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa.
2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako.
3. Dhibiti hisia zako. Akili tulivu inaweza kushughulikia hali yoyote.
4. Ili kuepuka kukatishwa...
Nakumbuka nikiwa mdogo jinsi nilivyotamani kuishi kwenye nyumba ya kifahari kama ambazo walikua wakiishi rafiki zangu ambao walikua watoto wa matajiri na wengi walikua waarabu..Baba zao walikua wenye company za ASAS, F.M Abri, Estate Co, OilCom, Temeke Bakery na wengineo ikiwemo na baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.