Habari!
Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli.
Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 5,2021 na kitengo cha mawasiliano cha Wizara ya Fedha na Mipango, Maktaba huo...
Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu yetu imepitwa na wakati na inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana.
Kwa historia elimu yetu...
Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi.
Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila.
Shigongo...