Uzi huu ni special kwa ma-street kings & queens wanaotaka kuvuka level kutoka kubeba mizinga mtaani hadi kuwa ma-ceo wa biashara zao. Ukitaka kufanya biashara ya maana, ya ukweli, lazima ujue namna ya kuagiza bidhaa kutoka China—land ya ma-deal legit kabisa. Sasa hapa nataka nikuweke kwenye game...