Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024.
Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo!
Haya yafanyike kwa haraka!!
Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14!
Nipo tayari kwa hoja.
Karibuni.
PIA SOMA
- SoC04 - Tanzania...
UTANGULIZI
khairooni ni kijan wa kike aliyeamua thubutu na kujiamin kupambania karamu yake juu ya kutengeneza tanzania. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa uhai na afya .pia napenda kuwashukuru jamii forums kwa kuanzisha shindano hili kwani linatoa fursa kwa vijan na jamii...
Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
Habari zenu wadau.
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima.
Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya.
Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60..
Ikumbukwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.