elimu ya ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  2. Napendekeza elimu ya ufundi stadi ianze kutokewa kuanzia ngazi ya chekechea

    Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14! Nipo tayari kwa hoja. Karibuni. PIA SOMA - SoC04 - Tanzania...
  3. SoC04 Elimu ya ufundi stadi chachu ya maendeleo

    UTANGULIZI khairooni ni kijan wa kike aliyeamua thubutu na kujiamin kupambania karamu yake juu ya kutengeneza tanzania. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa uhai na afya .pia napenda kuwashukuru jamii forums kwa kuanzisha shindano hili kwani linatoa fursa kwa vijan na jamii...
  4. R

    SoC04 Shule za ufundi Tanzania ziongezwe na Elimu ya ufundi ipewe kipaumbele

    Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
  5. SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  6. Serikali ya Rais Samia inajenga vyuo 89 vya VETA nchi nzima. Haya ni mapinduzi kwenye sekta ya elimu ya ufundi

    Habari zenu wadau. Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima. Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya. Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60.. Ikumbukwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…