Rafiki yangu mpendwa,
Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo.
Ulifundishwa historia za mambo ya kale, jografia ya maeneo mbalimbali, sayansi ya viumbe wote na hisabati za...