elimu ya uraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Timu ya mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora kutoa mafunzo Mbalali

    Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa pamoja na viongozi mbalimbali wilayani hapo ikiwa ni mwendelezo wa...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Rc Mtanda afungua mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya Uraia na Utawala Bora. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo mapema leo Machi 03, 2025 wakati alipokuwa...
  3. K

    Pre GE2025 Anachokifanya Tundu Lisu kinahitaji kufanyika miaka mitano mfululizo Watanzania waelewe

    Tundu Lisu ni mwalimu wa elimu ya uraia na kujitambua japo mwenyewe hajui. Tundu Lisu anadamu ya kufundisha haki, demokrasia lakini yeye na wanaomzunguka wanamuaminisha kuwa ni mwanaharakati ndio maana mission zake hazifanikiwi kwa asilimia kubwa Anachokifanya kwa sasa hakiwezi kuleta matunda...
  4. Morning_star

    Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump

    Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa! --- MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump. Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa...
  5. Yoda

    Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

    Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi. Wengi katika ukurasa huo...
  6. Pascal Mayalla

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel Ten TV, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa 9:30 alasiri. Hoja ya leo ni...
  7. Analogia Malenga

    Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

    Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
  8. Chachu Ombara

    Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  9. naggy

    Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

    Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi...
Back
Top Bottom