"KWANINI SHIRIKA LINA NDEGE 131 LAKINI ZINARUKA 416 KWA SIKU?"
Swali hili limeulizwa mara nyingi zaidi katika chapisho la juzi kuhusu historia ya shirika la ndege #Ethiopian #Airlines.
Kwa kifupi Ndege moja inaweza kuruka zaidi ya mara moja kwa siku 'Multiple flights' kutoka sehemu moja au...