Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa kwamba chuo chetu hakijajisajili katika mfumo mpya wa ukataji leseni.
Hivyo naomba niripotie hii kwa...
Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS.
Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini viwango vimetofautiana kwa kozi
Kuna kozi kama Bima, Environment, Philosophy, siasa, Business administration, n.k. Ni ngumu kujiajiri na ni nadra kusikia tangazo la ajira.
Wakati huo kusomesha mtu degree bila mkopo kinahitajika kiasi cha milioni 10 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.