Ni Mch. Eliona Kimaro wa kanisa la K.K.K.T - DSM akimwaga madini adimu sana.
Anasema, viongozi wengi wa nchi za Kiafrika ni wabinafsi na huogopa sana watu wenye akili (talented people) kwani badala ya kuwalinda na kuwaweka karibu watu hawa ili kuwatumia kusaidia uwepo wao kwenye iti vyao vya...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo
Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi
Chanzo...
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia
Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu
Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata
Mimi ni mgalatia lakini Ukweli...
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT.
Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi
Tusikuze mambo na kumpa faida shetani
Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo.
Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.
Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro!
Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja.
Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.