Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022.
Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na:
Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m
Idara ya...
Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8.
Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho.
Kifo cha marehemu Queen...
Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko mitandaoni.
Tuanze kwanza kwa kuangalia kitu kinaitwa "order of Seniority and precedence" hii maana yake...
Malkia Elizabeth II atafanyiwa mazishi ya kiserikali ambayo yatafanyika leo Septemba 19, 2022 katika eneo la Westminster Abbey, jijini London.
Mchana wa leo, Jeneza la Malkia Elizabeth II litasafiri hadi Windsor Castle kwa ibada ya mazishi na kisha atazikwa katika mazishi ya faragha.
Rais...
Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa kukwepa kupanga mstari wakati waombolezaji wakipita kwenye jeneza kuaga mwili wa Malkia Elizabeth II.
Mwanaume huyo ambaye anatoka Tower Hamlets mashariki mwa London, Muhammad Khan anadaiwa kupita nje ya foleni Ijumaa Septemba 16, 2022 na alikamatwa siku hiyo...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9...
“UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU”
10/09/2022
Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa kwanza wa sarafu umegubikwa na masuala tata kama:-
Ukoloni; Hakuna shaka yeyote kuwa lawama za...
Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu...
Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo.
Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo ambaye pia ameweka historia ya kuwa Kiongozi wa Nchi aliyeongoza akiwa na umri mkubwa...
Paka Reuben sasa anajulikana kama
, Sir Ruben J. Cat, KBE
A cat in Exeter who is famous for moving into peoples homes for months at a time is to have a book published about his adventures.
Ruben the cat is well known for wandering the streets of Exeter and paying visits to houses around his...
Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara mengine na atendelea na majukumu yake madogo madogo. Malikia Elizabeth II amepatiwa dozi tatu za chanjo...
Princess Elizabeth hugging a corgi, 1936.
Princess Elizabeth at Windsor Castle, 1940.
Princess Elizabeth, 1943.
Princess Elizabeth and the Duke of Edinburgh attend a polo match at Nyeri in Kenya, 1952.
Queen Elizabeth, Princess Elizabeth and Princess Margaret, 1944.
Queen Elizabeth II spent a night at the hospital for 'preliminary investigations,' says palace spokesperson
By David Wilkinson and Max Foster, CNN
Updated 6:37 PM ET, Thu October 21, 2021
Queen Elizabeth cancels trip to Northern Ireland
London (CNN)Queen Elizabeth II spent Wednesday night...
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.
Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana. Binti wa miaka 13 akaangukia kwenye penzi la kijana mwenye miaka 18.
Elizabeth na Philip wakawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.