Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE), Elvis Amoroso - ambaye ni Mshirika wa karibu wa Maduro amesema kwa 80% ya kura zilizohesabiwa, Rais Maduro alikuwa na 51.20%
Mpinzani wake Mkuu, Edmundo González anatajwa kupata 44.02% ya Kura zote, huku Upinzani ukisema alipata 70% na ndiye Rais...