email

Electronic mail (email or e-mail) is a method of exchanging messages ("mail") between people using electronic devices. Email was thus conceived as the electronic (digital) version of, or counterpart to, mail, at a time when "mail" meant only physical mail (hence e- + mail). Email later became a ubiquitous (very widely used) communication medium, to the point that in current use, an email address is often treated as a basic and necessary part of many processes in business, commerce, government, education, entertainment, and other spheres of daily life in most countries.
Email is the medium, and each message sent therewith is also called an email. The term is a mass noun.
Email operates across computer networks, primarily the Internet, and also local area networks. Today's email systems are based on a store-and-forward model. Email servers accept, forward, deliver, and store messages. Neither the users nor their computers are required to be online simultaneously; they need to connect, typically to a mail server or a webmail interface to send or receive messages or download it.
Originally an ASCII text-only communications medium, Internet email was extended by Multipurpose Internet Mail Extensions (MIME) to carry text in other character sets and multimedia content attachments. International email, with internationalized email addresses using UTF-8, is standardized but not widely adopted.

View More On Wikipedia.org
  1. Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  2. Nawezaje ku recover email yangu?

    Wadau mpo poa? Mwanenu hapa nahitaji msaada . Niliibiwa simu yangu , baada ya muda nilipata nyingine . Changamoto ni pale ambapo katika ku log in kwenye simu mpya ikanihitaji nifanye 2 step verification. Kipengele kikawa kwamba namba niliyoisajilia hii email yangu kama verification...
  3. Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
  4. R

    E-mail kutoka TaESA.

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  5. Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  6. Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  7. W

    Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
  8. Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

    Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
  9. Yaani Mtu anajiita Msomi halafu inapita Mwezi au Miezi hajafungua hata Email yake ajue kuna nini, kwanini Dotto Magari 'asitudharau' tu na Kumnunia?

    Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
  10. Email App

    Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali. - Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb Messenger) - Tick za kuonesha email imeenda lakini haijafunguliwa - Na status zingine nyingi nzuri...
  11. Hivi nawezaje kuweka vitu vyangu kwenye email yangu?

    Salamuu wakuu, Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
  12. Fahamu kuhusu Utapeli kwa Njia ya Phishing Attach (links, email, attachments)

    Habari wana jukwaa!.. Technology ikiwa inaendelea kukuwa na vijana wa hovyo hawajaachwa nyuma, kuna utapeli unafanyika leo nataka nikuelekeze kuhusu utapeli wa kutumia 'Phishing Attack'. Phishing Attack ni njia inayotumia kuiba taarifa nyeti ambazo ni siri ya mtumiaji husika, kama Back...
  13. Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  14. L

    Msaada wa kurudisha email

    Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau. Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo nashindwa kabisa.
  15. Wajuba wa Ukraine wadukua email ya mkuu wa majeshi wa Urusi na kuanika madudu mengi tu

    Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya.... ================== ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER Ukrainian activists from the Cyber...
  16. Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  17. B

    Majina ya kwenye email hayaonekani kwenye sm baada ya ku-reset sim

    Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana. Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
  18. Msaada: njia ya kuforwad automatic email kutoka gmail kuja sms za kawaida

    Habari wakuu: Kichwa cha thread kinajieleza naomba mnisaidie njia ya kufoward email zangu zikiingia tu kasha la kupokelea zije moja kwa moja kwenye inbox ya kawaida kama SMS. Nimegoogle nikakutana na msamiati "SMS gateway domain" hapo nikashindwa. Mnisaidie kupata hiyo njia na maelezo ya huo...
  19. K

    Nahitaji kupigwa brashi kwenye Microsoft Word, Excel na Email

    Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa kiasi. Nipo Mwanza na siku nayoweza kuwa free ni jumapili. Malipo tutakubaliana. Karibu PM.
  20. Amri za usaili jeshini kutumwa kwa email, Warusi wanalo

    Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine. Operesheni mwaka wa pili, pale Bakhmut pameshindikana balaa licha "mizoga" ya Warusi kujazana pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…