Wakuu habari.
Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto.
Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...