MWANAFUNZI ALIYEPATA AJALI UWANJA WA TAIFA ATELEKEZWA BILA MSAADA WA UVCCM ..!
Mwanafunzi Emmanuel Jackson Malima mwenye umri wa miaka 17 anayesoma kidato cha nne (Form IV) Shule ya sekondari ya Kipunguni alisukumwa na kuanguka akiwa Jukwaani uwanja wa Benjamini Mkapa hata kupelekea kuumia...