OFISA wa Jeshi la Polisi, Emmanuel Mkilia (44) na wafanyabiashara watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo ya kulisababishia jeshi hilo hasara ya zaidi ya Sh milioni 798.7.
Washitakiwa wengine ni Donald Mhaiki (39) ambaye ni mtaalamu...