Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa.
Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na katiba iliyowekwa na chama hicho.
Ntobi ameeleza hayo wakati akizungumza kwa njia ya simu na...
Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa...
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya...
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
Hii ni taarifa ya Ntobi
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.