emmanuel ntobi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Ntobi ampongeza Tundu Lissu licha ya kumtukana na kumkejeli mitandaoni kabla ya Uchaguzi CHADEMA

    Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa. Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
  2. Pre GE2025 Emmanuel Ntobi: Nimeonewa kwa sababu namuunga mkono Mbowe kwenye Uchaguzi wa chama chetu

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na katiba iliyowekwa na chama hicho. Ntobi ameeleza hayo wakati akizungumza kwa njia ya simu na...
  3. KWELI Emmanuel Ntobi amevuliwa uongozi uenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa...
  4. Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

    Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya...
  5. Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

    Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu. Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
  6. R

    Martin Maranja Masese (MMM) apokonywa simu zake na polisi

    Hii ni taarifa ya Ntobi Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
  7. Emmanuel Ntobi awakaribisha akina Kinana, Nape kujiunga CHADEMA

    Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi. ========= Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…