Ndugu Watanzania!
Nimepata taarifa zisizotiliwa shaka kuwa watu walio karibu na watawala wananijadili mimi na baadhi ya viongozi wa dini na kuwa wamefikia uamuazi kuwa tukamatwe na nifunguliwe kesi ngumu (uhaini au ugaidi) ili kuninyamazisha.
Lakini kwa upande wangu, nimejulishwa kuwa...