emoji la kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SYLLOGIST!

    Ngoja nikuvalie njuga Mfyuuuuuu(mfyonyo)

    Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂 🤪Wee acha tu ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂 enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize...
Back
Top Bottom