Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima!
Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa Tatu, lakini baada ya Miezi mitatu Tena tatizo likarudi nikaenda kucheki hospital kwa kufanya X-ray,CT...