Inasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu.
Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa.
Hamna viburudisho wala miundombinu rafiki.
Serikali heshimuni afya na haki za wateja wa vivuko vyenu, wanahitaji mazingira mazuri na...