MIRADI WA KUPOZA UMEME NYAKANAZI KILOVOLT 220 HADI 440
Usione miradi mikubwa inafanyika ukadhania hata wewe ungekuwa mbunge ingekuwa tu ni mpambano haswaa, ni kuzunguka kona za wizara na maswali ya hapa na pole kwa mawaziri kama sio mpambanaji watapewa wengine kwa kisingizio cha KASUNGURA...