eng hersisaid

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    Sisi Yanga bado ni underdog, lakini tuna midomo mirefu kuliko masikio, tunarudi kwenye Uchokoraa wetu sasa

    Niliandika ile siku ya game ya Simba SC na Utopolo, Nilisema inawezekana Yanga ime drop au inawezekana Simba ime imemprove; Pia nilisema mwaka huu Yanga hatoboi hata group stage . Mean while , Injinia wa mchongo amekwenda kufanya kosa kubwa la kiutendaji linalokwenda kuicost timu msimu mzima...
  2. MwananchiOG

    Kwanini Simba hawajampost Rais wa shirikisho la vilabu Afrika wala pongezi kwa birthday ya Kikwete?

    Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania? Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu Afrika maana yake pia ni Rais wa Simba ameenda Ulaya kushiriki katika mkutano na shirikisho la vilabu...
  3. Allen Kilewella

    Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  4. ngara23

    Eng Hersi Said kumkaribisha Dullah Makabila Yanga, ni mbinu ya kumfukuza Manara Yanga

    Dullah Makabila na Manara wana uhasama mkubwa. Manara alimwoa aliyekuwa mke wa Dullah Makabila (zaylisa) huu mzozo ulikuwa mkubwa hadi Makabila akatunga wimbo wa kumkejeli Manara wa mzungu pori Dullah Makabila aliyekuwa shabiki wa Yanga alihamia Simba na kufanya tamasha la Simba day Sasa Leo...
  5. Mkalukungone mwamba

    Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

    Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga. Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
  6. SAYVILLE

    Tajiri Hersi Said anaisaidia Yanga kwa mapenzi yake

    Maisha yanaenda kasi sana. Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM. Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
  7. GENTAMYCINE

    Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

    𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 “Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa...
  8. comrade_kipepe

    Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

    “Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
  9. PAZIA 3

    Yanga ikiifunga Simba mara tatu mfulululizo, Eng. Hersi ajengewe sanamu pale Jangwani

    Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo. Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu...
  10. D

    Eng: Hersi sio smart kama nilivyotegemea kwa suala la Manara. Kashaharibu relationship ya Kaizer Chief na Yanga

    I just saw a goal.com South Africa posting Manara words . Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa . Sijui kama Hersi anajua Manara kasha zingua huko South Africa. Mtu karibu na Hersi amshtue kazi...
  11. BabuKijiko

    Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
Back
Top Bottom