Salaam wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria.
Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.