Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na Siasa kivile, lakini jana ndio nimepata uthibitisho kuwa Rais huyu wa Yanga 2025 atavuta Fomu ya Ubunge...
“Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”
“Tulikuwa ‘very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.