Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa.
Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo...