english medium za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Pamoja na maigizo ys jana kule Tanga bado siwezi mtoa mtoto English Medium eti nipeleke Kayumba

    Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele ya hadhara jana, watoto wao wapo elementary 😂😂😂 Moderator mbona mnaweka heading ambayo mimi...
  2. MKATA KIU

    Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

    Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue 1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...
Back
Top Bottom