Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...